Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe akiwasili kwenye Viwanja vya Shule mjini Musoma mkoani Mara jana kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara wa chama.
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe akiwahutubia wananchi wa Musoma kwenye Viwanja vya Shule mkoani Mara jana.
0 comments:
Post a Comment