Friday, May 15, 2015


Diamond PLatinumz amepost picha hiyo hapo chini na kuandika ujumbe unaofuata baada ya picha hiyo! Una maoni gani kuhusu hili?! Toa maoni yako mdau...


Hii ndio faida ya kung'ang'ania kuwa Mapenzi ni pesa..Mafundi wamepita Mke, haya Mpe wewe nyonyo sasa�� @naytrueboy ��������������������‪#‎MapenziAuPesa‬

1 comment:

  1. Kwa kweli namheshimu sana Nay bado kijana mdogo kiumri lakini anawapenda watoto wake kupita maelezo, hii inaonyesha ni jinsi gani alivyo baba mwema mwenye kujali damu yake... ipo mibaba mingine mijitu mizima lakini kazi kutelekeza watoto wao na hata familia zao ni aibu kwa kweli wajirekebishe... halafu watoto wakiwa wakubwa Mungu kawajalisha maisha mazuri, yanaanza oh wewe ni mwanangu kabisa mimi ndio baba yako!! kwani ulikuwa wapi siku zote... kwa mfano baba Daimond..

    ReplyDelete