

na haya ndio maneno ya vitesho kutoka kwa chagga baby Missy Temeke Mie huwa naheshimuu watu wazima, umepiga simu umejieleza Ndio maana post niliitoa. Kama nilivyokueleza sipendi ugomvi NA Watu wazima NA dada yangu Tunu uliemtusiii sipendi uendelee kumdhalilisha huko Facebook MIE ukitaka NIWE na Amani nanisimwage YALe ma ubuyu unayojua nayajua DELETE MAUCHAFU YOTE ULIYOWADHALILISHA WALE DADA ZANGU UKIFANYA HIVYO NAKUSAMEHE KWA MOYO MMOJA NA NTAENDELEA KUKUPA HESHIMA OTHERWISE KITANUKA. HAYA NENDA FACEBOOK DELETE YOTE NOW NAMAANISHA NOW KADELETE. NIMEKUTOLEA POST YAKO SO TOA HIZO POST HARAKAAAAAA
BONYEZA KUONA VIDEO YA BIFU HILO
0 comments:
Post a Comment