Watu wawili wameripotiwa kufa na wengine wengi kujeruhiwa baada ya mlipuko kwenye mji mkuu wa Afganistan Kabul.
Watu wawili wameripotiwa kufa na wengine wengi kujeruhiwa baada ya mlipuko kutokea kwenye uwanja wa kimataifa wa ndege katika mji mkuu wa Afganistan Kabul. Walioshuhudia wanasema kuwa mlipuaji wa kujitolea mhanga alikuwa amelenga wanajeshi wa kimataifa nje ya lango kuu la uwanja huo wa ndege.
Haijabainika iwapo walikwepa shambulizi hilo au la.
Lango hilo hutumika na maafisa wa kijeshi wa kigeni pekee yao.

0 comments:
Post a Comment