Wednesday, May 27, 2015

Movie iliyosubiriwa kwa muda mrefu sasa inapatikana sokoni na kukongo mioyo ya mashabiki kwa kile kilichofanyika ndani kutokana na mtazamo wa kile  kilichokuepo ndani ya movie
hii kuna mabadiliko mengi utayaona ambayo hukutegemea kuyaona kwa movie ya kibongo nyingine ulliyo tegemea kuona katika tasinia hii ya filamu tanzanian kutana na mastar wanaojua nini wanafanya katika upande na fasi ya filamu hapa kwetu bongo land kutana na PHILIMON LUTWAZA,BATULI pamoja na PATCHO MWAMBA nawasanii wengine wanao chupikia nakujua wanafanya nini kamata nakala yako sasa kwa rejereja na jumla kila kona ya tanzania sasa ni ANKO KIEPE ndani ya jiji.
Categories:

0 comments:

Post a Comment