Tuesday, May 19, 2015


Alfajiri mishale ya saa kumi ya jana ilikuwa siku mbaya kwa kundi la kina French Montana,NWC baada ya member mwenzao Chinx kufariki dunia kwa kumiminiwa RISASI za nyingi mgongoni ,police kutoka Queen,NYPD wapo katika msako mkali kumtafuta aliyefanya mauaji.

0 comments:

Post a Comment