Tuesday, May 19, 2015





Jeshi la Polisi mkoani Simiyu linamshikilia Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi (CCM) kata ya Malampaka wilayani Maswa Bw.Chigila Gilala (45) kwa kosa la kukutwa na viungo kadhaa vya binadamu, vikiwemo mkono wa albino na fuvu la kichwa cha binadamu.



Bw.Gilala ambaye pia ni Mjumbe wa CCM Wilaya ya Meatu, na mkazi wa kijiji cha Bukigi kata ya Malampaka wilayani Maswa atapandishwa kizim



 

0 comments:

Post a Comment