Binti mdogo aliyechukuliwa kufanya kazi nchini Oman miezi mi 3 iliyopita leo imekuwa tofauti baada ya binti huyo kufika na kufanya kazi kwa nguvu na kuoina mshahara mdogo ndipo akaamua kuomba aondoke arudi tanzania na katika hali ya utata aliambiwa na bosi wake achukue vitu vyake kwajiri ya kurudi tanzania nyumbani na baada ya kujiandaa kuondoka ndipo bosi wake akampiga risasi na kufa hapo hapo.
Kupitia blogu ya wananchi tutakujuza kinacho endelea live kutoka oman
source #Raia waishioOman

0 comments:
Post a Comment