Monday, May 11, 2015



Habari zilizotufikia huvi punde‬ Watoto watatu waliokuwa wakiishi 



Kahama wamekutwa wakiwa chini ya Chesesi ya basi la Mghamba 



linalofanya safari zake kati ya Kahama na Arusha wakati 



Askari wa usalama barabarani wakifanyia ukaguzi gari hilo 



Mkoani Singida. Endelea kufuatilia taarifa zetu kufahamu zaidi.

0 comments:

Post a Comment