Monday, May 11, 2015


John Nyerere, mtoto wa nne wa Mwl. Nyerere, amefariki dunia jana katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili alikokuwa amelazwa. - John alikuwa ni rubani mahiri wa ndege za kivita (Jet Fighters)

0 comments:

Post a Comment