
Kama ulikosa kuhudhuria au kuangalia kilichojiri kwenye Zari White Party, basi ulikosa kusikia na kutizama freestyle walioitoa Diamond na Nay Wa
Mitego walipopanda jukwaani.mambo yalikuwa hivi... Diamond: kama mapenzi shilingi, mi nilitoa hadi morano nikakimbiwa, vinjonjo vingi, naona vyote nlivyonavyo nkakaziwa. Nay: we unatoa morano wenzio wanatoa
0 comments:
Post a Comment