Posted by Williammalecela.com on Thursday, May 14, 2015
Ney
wa Mitego na Diamond May 13 wameipiga muhuri tarehe hii kwa kuingia
tena kwenye headline,time hii wameamua kuachia pamoja collabo yao ya
pili ambayo walianza kuitangaza kupitia mitandao ya kijamii wiki chache
zilizopita.
Miongoni
mwa maswali waliyoulizwa na B dozen wa XXL ni muda walioutumia kuandaa
collabo hii ambapo Diamond alijibu kuwa wimbo huu uliwachukua siku
7(wiki) muda mwingine iliwalazimu kukesha studio ili tu
kuukamilisha,wimbo huo unaweza kusikilliza kupitia Mkito.com mtu wangu
lakini hapa nimekurekodia interview wakati wakihojiwa.
0 comments:
Post a Comment