Timu ya Uongozi Pamoja na Wafanyakazi wa Hotel ya Double Tree wakiwa katika Picha ya Pamoja leo Kabla ya Kufanya Zoezi la Utunzaji wa Mazingira kwa Kusafisha Fukwe ya Bahari ya Hindi leo
Meneja Mkuu wa Double Tree hotel Ndugu Ian Mclachlan akiwa mbele kuwaongoza wafanyakazi wa hotel hiyo kufanya usafi katika ufukwe wa bahari ya hindi masaki jijini Dar es salaam
Wafanyakazi wa hotel hiyo wakiendelea na Zoezi hilo kwa kutunza Mazingira yanayozunguka Hotel hiyo
Meneja Mkuu wa Double Tree hotel Ndugu Ian Mclachlan
Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Hotel ya Double tree Ndugu Florenso Kirambata akiwa amejumuka katika Zoezi hilo,Akielezea Zaisi Ndugu Florenso alisema wameamua Kufanya zoezi hili ili kutunza Mazingira hasa Mara Baada ya Kumalizika kwa Kipindi cha Mvua hali iliyosababisha Fukwe Mbalimbali kuwa Chafu.Ni Vema kutunza Mazingira Yanayotuzunguka.
Meneja Mkuu wa Double Tree hotel Ndugu Ian Mclachlan Akiendelea na Zoezi hilo akiwa Sambamba na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Hotel Hiyo Ndugu Yehia Elmonsoury




0 comments:
Post a Comment