Friday, May 29, 2015

Ni exclusive news kutoka kwa Fashion Designer Ally Rehmtullah, ambaye 2014 alimake headline kwenye mitandao ya kijamii mara baada ya kuandaa keki kwenye birthday yake iliyoleta utata katika jamii kufuatia shape ya keki hiyo kuwa na umbile la mwanaume na hatimaye Ally kunyonya umbo lenye shape ya uume kwenye ile keki. Mbali na hilo hii ni mpya nyingine kutoka kwa designer huyo ambaye ametoa exclusive nyingine ya kutafuta mke
Wakati akifanya exclusive mahojiano na mwandishi wetu alizungumzia alifafanua kuwa. “Sasa hivi najiona nimezeeka coz nina 28 old, sina motto hata mmoja wala mke, so niwakati wangu sasa now natafuta mke niuoe, kwa mwanamke anaye taka kuolewa aje kwangu”. Alisema Ally
Credit:Team Tz

0 comments:

Post a Comment