Wednesday, May 6, 2015


 Kwanini Zari White Pary imefanikiwa? ni Elimu kubwa sana kwa Wasanii wetu bongo kwamba hakuna bahati mbaya au nzuri kwenye Arts au Sanaa ila utavuna ulichopanda tu so Zari amevuna alichopanda...alianza siku nyingi na pole pole kutengeneza Super Image katika Social Media akitumia kipaji chake namba moja UZURI tu ina maana ANAJITAMBUA huwezi kumkuta ame post ujinga ujinga au yupo kwenye mapombe siku zote alikuwa ana post picha za uhakika akiwa na magari ya ajabu kwenye majumba ya ajabu Mahoteli ya ajabu lakini siku zote zilikuwa ni picha zenye utashi

zilizotengenezwa vizuri with smart and very carefully written words..matokeo yake yakawa a powerful Image ya mdada mtajiri Super Bilionea now kwa kuitengeneza hii image Zari alikuwa anatafuta nini ni kama alivyotufanyia juzi kutulipisha Shillingi Millioni Tatu, Moja na Laki kumuona tu..swali ni kwa nini kuacha Diamond Wasanii wetu wengine hawawezi kufanya mambo kama hayo ya Zari kutulipisha lumbesa wa pesa kuwaona?..ukiwauliza wenyewe utapata majibu kibao ya kujitetea ukweli ni kwamba Wasanii wetu hamko serious na mmezungukwa na watu wasiojua anything on how to make and protect an image of a Super Star..I mean Super Star huna Mwanasheria wala Maneja kila mahali upo picha za kijinga jinga kwenye Insta Wall yako huna picha za sehemu bab kubwa na watu bab kubwa...unaogopa kuomba picha na watu babu kubwa eti utaambiwa unajipendekeza hujui the effect of Image kwenye ubongo wa binadam guys we need to learn how to use Social Media effectively for own good Zari sio mchawi ana kipaji kimoja cha Uzuri amekitumia kukitanua through Social Media na majuzi faida yake wote tumeiona unless umeamua kuwa Kipofu au Kiziwi lakini ukweli ni kwamba ni mshindi na ametumia akili ile ile ambayo sisi Wasanii wetu wanashindwa kuitumia kwa faida yao so the message here ni Wasanii wetu Bongo badilikeni wacheni kupondana wacheni kujishusha hadhi JITAMBUENI! JAMANI ASUBUHI NJEMA SANA! Le mutuz 

0 comments:

Post a Comment