Jay Z ameshambuliwa na mashabiki Waamerika wenye asili ya Afrika watu weusi wakidai anawabagua baada ya kuajili wazungu pekee kwenye kampuni yake Fidal inayojihusisha ya uhuzaji wa muziki mtandaoni.Kampuni hiyo ipo nchini Norway ambako watu weusi ni wachache.Kwenye matandao wa twitter umefurika watusi kwenda kwa mwanamuziki huyo na mke wake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment