Kabula ili kujua nini kilimsibu hadi akarekodiwa video hiyo.Alisema kwa mazingira ya tukio hilo, anashindwa hata ajibu nini maana haelewi kilichotokea hadi mkanda huo ukasambaa kiasi hicho na kumsababishia matatizo kwa ndugu zake.
“Kiukweli nashindwa hata nikujibu nini maana kama aibu tayari imeshanikuta, hivyo sioni kama naweza kuongea kitu chochote kwa sasa kikanisafisha, kikubwa namwachia Mungu maana sina tena pa kuuficha uso wangu kwa hiki kilichotokea, yaani yamenikuta,” alisema Jini Kabula ambapo alipobanwa zaidi kuhusu aliyemrekodi, alijibu kuwa ni mchezaji wa timu ya Yanga pasipo kumtaja jina.
“Bwana ni mchezaji wa Yanga, alikuwa mtu wangu.”
Kama bado
haujaicheki video hiyo..BONYEZA HAPA!
0 comments:
Post a Comment