Awali, mwanahabari wetu aliyekuwa
akikusanya matukio eneo hilo alimshuhudia Kajala akipata ‘kilaji’ kisha
akaitwa na mshereheshaji Maimartha Jesse na kupewa nafasi ya kucheza
muziki ndipo alipoanza kuionesha tatuu yake iliyopo bajani kabla ya
kuanza kukata mauno.
Watu
waliokuwepo ukumbini humo walipigwa na mshangao kwani hakuna aliyeamini
staa kama huyo alikuwa mahiri wa kuzungusha nyonga.“Yaani ni balaa,
sijui ni kuzidisha kilaji au ni vipi, mtoto wa kike kajitoa ufahamu
kwelikweli, leo ndiyo amefunika watu wote hapa,” alisema mmoja wa
waalikwa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment