"Wana
Ilala wanataka mabadiliko 2015. Wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta
nje ya CCM. Miaka 10 kata ya Mchikichini haina hata Zahanati? Kata ya
Ilala haina hata Zahanati? Kadhalika kata nyingine. Ukienda Amana
unaambiwa ni hospital ya Rufaa. Afya ya watu wetu ni jambo la msingi
sana!
Ilala ni yetu sote! Niko tayari."
Ilala ni yetu sote! Niko tayari."


0 comments:
Post a Comment