Wednesday, May 6, 2015

Diamond na Nay wa Mitego wakiimba ngoma yao ya Muziki Gani.
DONGO! Wakali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ wameamua kuwavua nguo waliokuwa wapenzi wao kwa kuandaa wimbo ambao unazungumzia matendo machafu waliyowahi kutendewa na wapenzi wao hao.

Ngoma hiyo inayofahamika kama Mapenzi Pesa ambayo inaachiwa leo katika vituo mbalimbali vya redio, mastaa hao wameimba kwa staili ya kubishana kwa kuambiana kuwa mapenzi ni pesa mwingine akisema si pesa ila ni kupetipeti. Mashabiki wakijiachia. Akizungumza na Risasi Vibes, mmoja wa watu wa karibu na wasanii hao alisema kwamba, Diamond na Nay wa Mitego, 

0 comments:

Post a Comment