Saturday, May 2, 2015

Diamond na mpenzi wake Zari katika Exclusive One on One Interview ya Power Breakfast ya Clouds FM na 360 ya Clouds TV.STAA wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul 'Diamond

Platnumz' amefunguka kuwa tayari amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake Zarinah Hassan 'Zari' na anatarajia kupata mtoto wa kike mwaka huu. 

2 comments:

  1. lemutuz nisaidie nimenunua kifurushi cha whiteparty ya zari nikajaribu mchana ika connect saa hizi najiunga inaniambia code yangu inatumiwa na mtu mwingine nami nipo mwenyewe

    ReplyDelete
  2. jamani mi code yangu inasema imeshatumika nimeingiza network ikawa mbaya imekaa inasema inatumiwa na mtu mwingine

    ReplyDelete