Wednesday, May 27, 2015
KUMBE MUANDISHI WA HABARI ALIYEFARIKI MAJUZI ALIKUWA HAJALIPWA MSHAHARA MIEZI MITATU SOMA HAPA LIVE!!
Posted by Williammalecela.com on Wednesday, May 27, 2015
Hawa Malumbo
,
Babi D'e Conscious
,
Ummy Gama
and
25 others
like this
.
Skipper Moses
Sema tu Wanahabari hawana JUKWAA la kusemea kadhia wanayoipata katika "ajira" yao, maana Muswada wa Habari unakusudia kutatua kadhia yao. Hivyo, wanaopinga si Wanahabari bali ni Wamiliki wa Vyombo vya Habari wanaofaidika na mfumo uliopo wa kinyonyaji!!
Like
·
Reply
·
1
·
15 hrs
Sylvester John
Aisee hii sio nzur kabisa
Like
·
Reply
·
15 hrs
Stephen Mwilolezi
Dotto amenena! Nakubaliana naye 100%. Lakini kwa upande wa serikali, inafanya nini ktk kuhakikisha waajiri km hawa na wengine wengi hasa walioko sector utalii hasa hotelini hawawanyonyi wafanyakazi wao kwa kuwafanyisha kazi bila mikataba? Nani hasa anasimamia haki za wafanyakazi ktk secta binafsi?
Like
·
Reply
·
9 hrs
Skipper Moses
Stephen Mwilolezi
,
Wanahabari hawajajipanga vizuri kutetea haki zao, yaani they are not organised. Hakuna Serikali duniani inayotetea maslahi ya Kundi lolote lile bali husimamia tu. Wanahabari wepesi sana kufunga midomo yao na Cellotape lakini waoga, M
athalan, kuamua kuwa leo hakuna Gazeti litakalotoka, au mtu kuingia kwenye chumba cha radio au TV.
Lakini wepesi kuyavalia njuga madai ya makundi mengine, eti wao ni muhimili wa nne!! Hicho ni kilemba cha ukoka tu kwa mfumo wa sasa wa umiliki wa Vyombo vya Habari kwa maana kuwa imekuwa biashara kama biashara nyingine duniani. Profit maximisation instead of social responsibility has been the order of the day for the mass media.
Like
·
Reply
·
1
·
9 hrs
·
Edited
Anderson Rwela
Kuna tatizo gani MOAT kupinga mswaada Wa habari
Like
·
Reply
·
6 hrs
Skipper Moses
Tatizo ni kwamba MOAT wanapinga kwa sababu tu hawataki kusimamiwa hata wanapozungumza uongo. Yaani wanataka waishi kama Kuku wa Kienyeji. Ndo taabu yake hiyo!! Wanataka UHURU usio na mpaka. Haiwezekani Bwana!!
Like
·
Reply
·
4 hrs
Anderson Rwela
Umeusoma muswaada kweli kaka
Like
·
Reply
·
4 hrs
Email This
BlogThis!
Share to X
Share to Facebook
Newer Post
Older Post
Home
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TOTAL PAGEVIEWS
Popular Posts
LIVE: RAIS MAGUFULI ANAKABIDHIWA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI
BREAKING NEWZ: BASI LA NGANGA LATUMBUKIA MTARONI KULIKWEPA LORI
THE UDAKUZ: WEMA SEPETU Vs WOLPER!!
IRAN NA MAREKANI WAZIDI KUIMARISHA UHUSIANO
PICHA YA KWANZA YA KANISA LA ASKOFU MTATA GWAJIMA BAADA YA KUKUMBWA NA BOMOA BOMOA YA SERIKALI JANA LIVE.
0 comments:
Post a Comment