Sunday, May 3, 2015



wa mara ya kwanza hii ilikuwa interview ambayo iliwakutanisha wa penzi wawili kwa pamoja, Zari na mpenzi wake staa wa muziki, Diamond Platnumz ilikuwa katika @CloudsFM na Clouds TV
Kwenye interview hiyo kuna haya majibu ya ishu ambazo huenda hukuwahi kuzisikia wakiongelea kokote
<>—Diamond Platnumz anasimulia walivyokutana na mpenzi wake Zari kwa mara ya kwanza.
Kumbe hiki ndicho kilimvutia Zari kwa Diamond Platnumz>> “Ni mchangamfu.. anajali.. Diamond ana akili sana, nilivutiwa nae kwa sababu ana akili sana.. anajituma sana, ni mtu mwenye malengo makubwa..”>> —Zari.
Kwani Diamond amewahi kuonana na watoto wa Zari?? Wanamchukuliaje? >> “Bado hawajawahi kuonana.. ila watoto wanamjua.. kama mama yao nina furaha wao wana furaha pia>>—Zari.
Hivi ndivyo Diamond alivyomzungumzia Zari pamoja na maisha yao >> “Anajua kuna maisha ya kwenye media na kuna maisha ya ukweli.. Japokuwa watu wanahisi vitu vingi viko kwenye public, ni uongo.. tuna maisha ya social media na tuna maisha private..

1 comment:

  1. Congratulations to diamond's management team for pulling this one off...for all the false rumours spreading in the media about cloudsfm/tv promoting the event and taking the big chunk of the money that is really sad.It should be the management and the artist getting it and not the other way around diamond and zarii are the current super brands in the east africa music industry at the moment without them no one will be interested to watch cloudsfm/tv online or their boring programs,no one will use m-pesa to watch a music show online or no one will care to buy huawei ascend mate7.PLEASE AM A DIE HARD FAN OF THIS COUPLE IT IS NOT FAIR WHEN PEOPLE TRY TO RIP THEM OFF AND MAKE MONEY OUT OF THEM...WAO TAYARI NI SUPERBRAND YA KUTOSHA HAWAITAJI KUUZA SHOW KWA MTU MWINGINE.

    ReplyDelete