Posted by Williammalecela.com on Tuesday, May 12, 2015
 |
| Le Mutuz Nation kusaini kitabu cha maombolezo at Msasani Nyumbani kwa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, ilikuwa ni kuuaaga Mwili wa Mtoto wa Nne wa Mwalimu Nyerere Capt. John Nyerere aliyefariki Alhamis katika Hospitali ya Muhimbili. |
 |
| Mbunge Mtarajiwa wa Moshi Mh. Victor Tesha akisaini kitabu cha wageni at Msasani Nyumbani kwa Baba wa Taifa jana kwenye kuuaaga Mwili wa Marehemu John Nyerere kabla ya kupelekwa Butima kwa mazishi leo. |
0 comments:
Post a Comment