@
LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK!!:- Ninaiunga mkono kwa 100% Sheria mpya ya
Cyber Bullying na Cyber Crime kwa sababu at its heart inataka TUANDIKE
WITH RESPONSIBILITY yale mambo unakurupuka na habari za uongo huna FACTS
wala EVIDENCE sasa mwisho, miaka yangu 30 ya kuishi Majuu
nilichofundishwa na Wazungu ni KUANDIKA KWA RESPONSIBILITY NA kKUANDIKA
KWA FACTS WITH EVIDENCE!!
- Ndio maana kama umesoma sana my articles huwa ninaandika realty tu siandikagi theories na habari nizisokuwa na uhakika nazo, now naomba kusema wazi kwamba siwakilishwi na mtu yoyote in this ishu as a blogger ninasema tena kwamba I SUPPORT THIS BILL 100%!! - Le Mutuz

0 comments:
Post a Comment