Tuesday, May 19, 2015

Le Mutuz Nation juzi nilienda kumtembelea my number fan mjasiriamali Edwin Edo William ni kijana mdogo mwenye ufundi wa ajabu wa kurekodi music kwenye simu na flash, he is my Instagram follower ameniomba sana kumtembelea so juzi niliamua kwenda kumuona hapa ndipo anapofanyia kazi Kariakoo so kama unataka kumpa support mipigie at +255 654 255 115 ni kijana anayejitahidi sana na kazi zake ni Super quality!! - Le Mutuz



0 comments:

Post a Comment