kwamba utasema ni Mwanamuziki 3. A SUPER MODEL no that is not even an ishu cause she is not...COMPARISON Diamond Platznumz ni the best Musician Super Star but ni kwa sababu ya Muziki wake alioufanyia sana kazi...this woman niambie anafanya nini? But she is a big Star WHY? 1. HATA ukigombana naye tu you become a Star na hata
ukiwa rafiki yake pia unaishia kuwa Star...tizama Instagram ni wale tu tunaoshambuliwa na wafuasi wake ndio Ma Star hapa!.... na wale walioko karibu naye hahahah...sitaki kutaja majina lakini wale wote Ma Star kutokana in One way or Another kujihusisha naye aidha kwa urafiki au ugomvi ndio mmeishia kuwa Ma Super Star...this Woman was born a natural
Super Star hata kama humpendi kama binadam lakini TUKUBALI KWAMBA ANA NYOTA YA AJABU SANA...na huenda asije kupatikana MTanzania mwingine kama yeye miaka ya karibuni...ana mapungufu yake lakini hayajaondoa KUNG'AA KWA NYOTA yake the TRUTH HAS TO BE SAID NA LEO NINAUSEMA BILA TATIZO KWAMBA ninaheshimu sana kwamba SHE IS TRUE STAR...I CAN DEBATE
AT ANYTIME NA ANYBODY ON EDUCATIVE LINES KUSIMAMIA MY POINT...WABONGO TUFIKE MAHALI TUACHANE NA USHABIKI WA YANGA NA SIMBA NA TUKUBALI UKWELI UNAPOKUWA UKWELI .SIANDIKI FOR ANYBODY AU KUMUOGOPA MTU AU WAJINGA WAJINGA NIMEANDIKA THE TRUTH...JAMANI JIONI NJEMA SANA! - le Mutuz
0 comments:
Post a Comment