2015 ndiyo hii mtu wangu.. Kili Music Awards
ni Tuzo kubwa kwenye industry ya muziki TANZANIA… Waandaaji wa Tuzo
hizo leo wameileta kwetu rasmi kabisa ile list ya mastaa wetu wa muziki
ambao wameteuliwa kuwania Tuzo hizo kwa msimu wa mwaka huu 2015.
Niko nayo tayari, unaweza kucheki hapa list kamili ya mastaa wote ambao wameteuliwa kwa mwaka huu.

Baada ya kuipitia nimeona majina ya mastaa walioongoza kwa kuteuliwa kwenye vipengele vingi zaidi, wa kwanza ni Ali Kiba ambae yuko kwenye vipengele sita, anafuatia Diamond kwenye vipengele vitano na Jux ambae yuko kwenye vipengele vinne.. Kila la kheri kwa watu wetu !!
0 comments:
Post a Comment