Thursday, May 7, 2015

MSANII nyota wa filamu, Elizabeth Michael `Lulu’ amekanusha uvumi kuwa matatizo yanayowatokea wanaume aliowahi kuwa nao yanatokana na yeye kuwa na Jini Mauti anayesababisha hali hiyo kutokea, Amani linakujuza.
Msanii nyota wa filamu, Elizabeth Michael `Lulu’.Akizungumza na gazeti hili juu ya madai ya wadau mbalimbali kuhusiana na matukio mengi SOMA ZAIDI>>>

0 comments:

Post a Comment