Wednesday, May 27, 2015

Baada ya kuifunga akaunti yake kwenye mtandao picha wa Instagram iliyokuwa na followers zaidi ya laki nne, na kuamua kufungua tena akaunti kwenye mtandao huo, staa mrembo wa Bongo Movies, Elizaberth Michael ‘Lulu’ ametupia picha hizi
mpya kwenye ukarara wake huo mpya unaopatikana kwa anuani ya @ elizabethmichaelofficia kitendo ambacho kimewavutia mashabiki wengi waliommiss mrembo huyo ambaye ni mpenzi wa fasheni.

0 comments:

Post a Comment