Kila
jamii ina tamaduni zao katika ulaji wa vyakula na kuna nchi za wenzetu
ulaji wa nyama ya mbwa, panya si kitu kigeni kwao na hutumia kama
kitoweo kila siku lakini kwa wengine huona ni jambo la ajabu na haramu
kwao kutumia.Kuna stori kutoka Nigeria kwenye mji wa Anambra ambapo
Mgawaha mmoja umedaiwa kuwauzia wateja wao nyama za binadamu tena kwa
bei kubwa tofauti na bei nyingine.

Inasemekana Polisi walipewa taarifa hizo na kuamua kufanya uchunguzi na ndipo walipovamia mgahawa huo na kukuta vichwa viwili vya binadamu vikiwa ndani ya mfuko na tayari vimekatwa.
BONYEZA KUONA VIDEO YA MGAHAWA HUO>

But this one dasn't shows is from africa...?
ReplyDeletelooks somewhere in Asia.