Sunday, May 3, 2015

Mambo ya All White Party Hayo!

1 comment:

  1. Ila watanzania tuacheni unafki na kuwa wakweli wa nafsi. Ingetokea mtanzania kaandaa party ya aina hiyo, wangapi wangeenda? Mtu km Wema au Wolper wangeandaa mngeenda au mngeishia kuwapa majina mabaya? Mngewaita malaya na majina mengine mengi mabaya. Mfano mzuri Wema amekuwa anaandaa hizo party lakini hakuna hata mtu mmoja anaeenda sana sana mnaishia kumwita vigodoro, mara anapenda party mara ha act km mwanamke. Kuna muda alipanda jukwaani kumsaidia Diamond kucheza kwa kuwa alikatika viuno, Tanzania nzima mlimuandama, haki ipo wapi hapo? Mm naona watanzania bado washamba na wambea, wengi wameenda kwa kuwa Zari sio Mtanzania ili wapate kumuona, wengine km kumkomoa Wema ili kumuonyesha yy si mali kitu. Na ikumbukwe kuwa Zari anaandaa aina hiyo ya party kwao na hajawahi kupata hiyo response kwao, kwa kuwa anajua watanzania hawajielewi na hawathamini vya kwao. Km watu kujitahidi kimawazo basi tlutakiwa tumpongeze Madam Rita kwa kusaidia vipaji na Bongo star search kwani anasaidia watoto wetu, na wazazi walitakiwa wahudhurie kwa wingi kumpa support. Je, ni wazazi wangapi wameenda kumpa support au ww Le Mutuz hawahi kuandika chochote kuhusu yy kuonyesha mnathamini mchango wa bongo star search. Msiwe wanafki na km watu walokosa fikra nia aibu jamani

    ReplyDelete