Picha nimepiga kutoka maenezo ya Sinza Afrikasana na sehemu za jirani, unaambiwa watu wenye magari madogo wanapata tabu sana time hii ya mvua sababu hakuna miundombinu inayoweza kumudu mvua kama hivi na kuyasafirisha maji, barabara zina mashimo ambayo gari ndogo ni rahisi kuyagonga na kuumia.
Mkazi wa Sinza akivuka barabara maeneo ya Afrikasana
Foleni ya magari iliyosababishwa na mvua zilizonyesha mfululizo
Barabara Sinza inayotokea maeneo ya Mori yenye shimo kubwa lililojaa maji linalosababisha foleni ya magari kuwa kubwa….
0 comments:
Post a Comment