Thursday, May 21, 2015

 Huu ni mfano hai wa mzazi mmoja mjini shinyanga Mabula: Maisha ya wanangu ni magumu

Dotto Mohamed mwenye umri wa miaka sita na Shija Mohamed mwenye umri wa miaka minne ni walemavu wa ngozi miongoni mwa watoto sita katika familia ya Mohamed Mabula.

0 comments:

Post a Comment