Friday, May 29, 2015


Upendo ni kitendawili kinachokuwa na majibu tofauti kwa kila ampendae mtu na hisia pia nikitu cha tofauti kwa mtu anaye kabidhi moyo kwa yule ampendaye kutoka kwa moyo nivema kupetty na kujari unapopendwa maana ngumu sana kupenda unapopendwa ila ni rahisi sana kupenda usipo pendwa katika maisha haya mapenzi hubaki mapenzi na pesa hubaki pesa ni maneno ya ney na diamond platnum katika wimbo wao mpya wa mapenzi ni pesa au sio niufundi.
Categories:

0 comments:

Post a Comment