Mbunge wa Kigoma Mjini Mh.Peter Serukamba amepinga kusafishwa kwa
aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini na Nishati Ndg Maswi na Waziri
wa Wizara hiyo Prof.Muhongo dhidi ya kuhusika kwao kwenye uchotwaji wa
fedha katika Escrow Account.
Mh.Serukamba ameonyesha ujasiri mkubwa kwa kuikemea serikali dhi ya kuwasafisha viongozi hao na ametaka hatua kama hiyo itumike dhidi ya Chenge,Tibaijuka,Ngeleja na viongozi wengine waliotajwa na kulazimika kujiuzulu dhidi ya kashfa hiyo.

0 comments:
Post a Comment