Naomba
kushea na nyinyi kidogo kitu kipya- hiyo gari hapo ni posh gari ambayo
ni matajiri tu huko duniani ndio wanaendesha lkn Dubai ni za police 😳😳
kitu ambacho ni amazing compare na nchi zingine zote duniani-sitaki
kufananisha SANA Dubai na Tanzania kwa sababu najua wenzetu wako mbali
SANA lkn pamoja na yote police wa kwetu wako kwenye mazingira magumu
SANA ya kufanyia kazi ... - again nilikua na
jiuliza kuhusu local people kama wana fanya kazi leo nime pata
majibu..... Nazani ni kitu kizuri serekali yetu kujifunza hapo
@mrishompoto @joseph_sugu_mbilinyi kwamba waraabu wenyewe wa emirates
wengi wao wana fanya kazi serekali tu kwa sababu serekali iko vizuri
kitu ambacho nchi nyingi duniani ikiwemo Tanzania tu naamini private
company ndio kuna mishahara mizuri na huduma nzuri zaidi ya serekali-
lkn kwa wenzet serekali iko juu zaidi ya private kitu ambacho kingekua
kizuri kwetu sana - naamaanisha serekali inatakiwa iwe juu zaidi kuliko
private- ingeweza kusaidia kufanya kazi kwa bidii pia kukomesha
rushwa..... Lkn kama mshahara ni laki na nyumba ni 50 tena mwenye nyumba
anataka kodi ya mwaka how are we gone manage that ???? Rushwa haiwezi
kuisha kama serekali yetu haita angalia hili kwa umakini na kujali
wananchi wake na haki zao za msingi.... Nawakilisha hoja yangu kwa
muheshimi mbunge- @joseph_sugu_mbilinyi na mpigania haki za watanzania
@mrishompoto 😉
0 comments:
Post a Comment