Hii
ni moja ya picha iliyosabisha mafuriko ya COMMENTS na LIKES mtandaoni.
Hao ni mastaa wa bongo, Kitale ‘mkudesimba’ na Vj Penny.
Kitale
alibandika picha hii kwenye ukurasa wake na kuiandikia “Kuna siku
mashetani yng yakinikalia vibaya nitawambia kitu” kisha kum- tag penny
na kumalizia naneno haya….UfundiPelekaVeta ….MapenziAuPesa.
Mashbiki
wengi walishusha komenti za kumtaka Kitale awambie hicho kitu, huku
wengine wasimshauri achukue mrembo penny kwani watatengeneza bonge la
COUPLE.
Kiufupi kila mtu
aliandika lake lakini hadi sasa Kitale hakujibu komenti hata za
mashabiki hao, tuendelee kuisubili hiyo siku mashetani yake yakimpanda.
0 comments:
Post a Comment