Posted by Williammalecela.com on Thursday, May 21, 2015
 |
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Paul Makonda jana alipokutana na Wenyeviti wa Mitaa 176 na Watendaji176 wa Mitaa wa Wilaya yake ya Kinondoni
na kujadiliana nao kuhusu umuhimu wa Kuwahudumia Wananchi na kushirikiana nao kutoa kero zao kwani Taifa sasa linahitaji majibu ya kero sio malalamiko tu na wenye majibu ni wao yaani Serikali za karibu sana na Wananchi. |
0 comments:
Post a Comment