Friday, May 29, 2015


"Original comedy nawapongeza na nawaunga mkono kwa kazi yenu ya kuendelea kuwekeza ktk kilimo. Asante pia kwakukubali kuniunga mkono ktk campaign yangu ya USAFI. Itakayo julikana kwa jina la NAONA AIBU na nitaizindia tarehe 5 mwezi wa saba. WANAKINONDONI TUJIANDAE KUFUTA AIBU YA UCHAFU."
‪#‎KINONDONIkwanza‬

0 comments:

Post a Comment