Friday, May 22, 2015

PIA HAUFAHAMU WIMBO WA MSANII BILLNASS




 
Video ya mahojiano na Mo Music
Msanii Moshi Katema maarufu kama Moshi Katema ametoa dukuduku lake kwa waandaaji wa tunzo za muziki Tanzania maarufu kama KTMA awards.Moja kati ya vitu ambavyo vimemshangaza ni yeye kutowekwa kwenye upande wa msanii chipukizi na nyimbo yake ya hit song basi nenda kuwekwa kwenye upande shindanishi wa mahadhi ya zuku rumba ikishindaanishwa na nyimbo za wakongwe kama Christian Bella nani kama mama,Diamond Platinum ntampata wapi na Lady J Dee nyimbo mbili, historia na simama.
Pia amedai kwa upande wa wasanii chipukizi waliowekwa kwenye kipengele hawakustahili baadhi hajui hata nyimbo zao mfano Billnass. Pia   Alice ambaye ana nyimbo ya kushirikishwa na Ben Paul pete yangu.Baadhi ya wasanii kama Diamond Platnum na Ney wa Mitego walipost kwenye kurasa za Instagram kutoridhishwa kwao na Mo Music kutowekwa kwenye kipengele hicho.Mo Music alitangaza kujitoa hadi kazi zake wakati mwingine zitakapo teuliwa kwa haki na usawa.

0 comments:

Post a Comment