Posted by Williammalecela.com on Tuesday, May 05, 2015
 |
Ali Kiba avamiwa na majambazi nyumbani kwake
Habari zilizoripotiwa na clouds kwenye page yao ya
Instagram wanasema usiku wa kuamkia leo majambazi yamevamia nyumbani
kwa Alli - Kunduchi, na kukomba kila kitu. Kwa bahati Nzuri, Kiba
hakuwepo nyumbani kwake usiku huo
|
0 comments:
Post a Comment