Mtoto
wa darasa la nne wa shule ya Msingi Mkapa amejinyonga, Kwa mujibu wa
maelezo ya mwalimu wake mtoto huyo amejinyongea bafuni kwa kukwepa
adhabu ya wazazi wake baada ya mtoto huyo kutoroka shule...Taarifa zaidi
zitawajia hivi punde.picha si harisi
chanzo jamii forum...http://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/849755-mbeya-mtoto-wa-darasa-la-nne-shule-ya-msingi-mkapa-ajinyonga.html
chanzo jamii forum...http://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/849755-mbeya-mtoto-wa-darasa-la-nne-shule-ya-msingi-mkapa-ajinyonga.html
0 comments:
Post a Comment