Posted by Williammalecela.com on Tuesday, May 05, 2015
Mtoto wa 50 Cent apiga $700,000
Kuna ule
msemo unasema kuna watu wanaishi na wengine wamekuja kusindikiza
wanaoishi.. Yawezekana kukawa na ukweli ndani yake. Mtoto wa miaka
miwili (2) wa Rapper wa kimarekani 50 Cent anayeitwa "Curtis James
Jackson III" kalipwa $700,000 (1.4 Billion kwa pesa madafu) sura yake
kuwa brand ya Kampuni ya headphone za watoto inayojulikana kama Kidz
safe.
Tunapoongelea
Real Hustlers and Real Entrepreneurs 50 Cent is a real deal.. Huyu
jamaa namweka hata mbele ya Pdidy na Jay Z kwa kuweza kuyasaka manoti,
ukisoma hata kile kitabu chake cha "50th Law" utaweza kuona jamaa ni mtu
wa aina gani. He is focused and very smart business person, anajuwa
ku-negotiate, anajuwa kujibrand, anajuwa kutumia his fan base kupiga pesa na kila kitu..
Alisikika kwenye wimbo wake mmoja akiimba "have baby by me, baby be a
millionaire" and yes he proved that.. Mtoto wake wa miaka miwili tayari
sasa anaukaribia U millionare tena kwa kutengeneza mkwanja wake mwenyewe
na sio ule anaodepositiwa na dingi yake.. Na dingi kasema mkwanja
umewekwa kwenye account maalumu na hataugusa mpaka akifikisha miaka 18.
Imagine dogo akifika huko atakuwa tayari na pesa ngapi teh teh
0 comments:
Post a Comment