Ni maeneo ya ubungo kibangu ambayo yamepata majanga kwa mvua iliyokuwa ikinyesha na kusababishia baadhi ya nyumba
kwenda na maji ambazo zilikuwa kando kando ya bonde la mto gide huu ndo muonekano wake.
Maji bado yanaendelea kubomoa na kusogea katika makazi ya watu
Huu ni mtaro wa maji ambao umejaa maji machafu ambayo yanaweza kuleta milipuko ya magonjwa kutokana na takataka nyingi kusongamana katika eneo la kwa magawa mtaa wa makoka juu.





0 comments:
Post a Comment