Staa
wa Hip Hop Bongo,Hamis Mwinjuma amesema kuwa Staa wa Bongo,Diamond ana
haki ya kutoa maoni na malalamiko yake kuhusu tuzo za muziki za
Kilimanjaro(KTMA) za mwaka huu. Akizungumza kwenye kipindi cha Leo
Tena,alisema kilichomtokea Diamond hata yeye kilimtokea wakati alipotoa wimbo wake wa ‘Bado Nipo Nipo Kwanza’ ulifanya vizuri wakati huo lakini jina lake halikuwepo kwenye tuzo hizo.
BOFYA HAPA INAENDELEA
0 comments:
Post a Comment