Saturday, May 30, 2015

Leo asubuhi katika kipindi cha planet  bongo msanii Hamisi Mwinjuma A.K.A Mwana FA amemwambia mtangazaji huyo siku ya tukio la mashindano ya utangazaji ya mkumpata mrithi wa mtangazaji nguli Salama Jabir baada ya Dullar kuibuka mshindi alilia mithiri ya mlimbwende aliyeshinda shindano la ulimbwende.Warembo wanaposhinda shindano la umiss hulia kwa furaha kama alivyofanya mtangazaji huyo.



0 comments:

Post a Comment