Posted by Williammalecela.com on Thursday, May 21, 2015
Nilikuwa
nasikiaga tu kuwa kuna watu wananyanyapaa albino mpaka mitandaoni
nilikuwa sijawahi kuona aisee...hivi binadamu unaanzaje kumwambia hivi
mwenzio??khe!.....au ndio hawa wanaokata wenzao viungo??maana kapanic
vibaya
Jamani
huyu ndio leyla aliyemkashfu na kumnyanyapaa yule albino kwa comment
zake hizo hapo chini...kweli uzuri wa makubwa haya blog binadamu upo
ndani....mrembo hivi yaani hafanani na alichokifanya....ila bahati yake
kafuta acc maana kachambwa na acc zaidi ya 20 wakati bado
mapemaa....WANA IG CHUNGA COMMENT YAKO NI NOMAA! Usipojipangantakupanga J
0 comments:
Post a Comment