Nicki Minaj mwenye umri wa miaka 32 ameliambia jarida la Cosmopolitan anajiona mwanamke mwenye bahati kwaku fikishwa kileleni katika ulimwengu wa mapenzi.Meek Mill rapper wa Marekani ni mpenzi wake kwa sasa.Ameongeza amepata uzoefu mpya kwa kufanya mapenzi kwenye range rover nikitu ambacho akutegemea alijikuta amekifanya.Anaumia moyo kusikia kuna wanawake hawafurahii kufanya mapenzi kwakuto fikishwa kileleni.
Saturday, May 30, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment