Ommy alikuwa akihojiwa na kituo cha Radio 5 cha jijini Arusha weekend hii alipoulizwa kama amealikwa kwenye party hiyo.
“I
am not invited,” alisema. “Lakini sina tatizo na Diamond, hajawahi
kunikosea. Kikubwa ni kwamba amekuwa ni mfano kwa wasanii upcoming
kwasababu hata mimi nimemkuta kwenye muziki na ni mmoja wa wanamuziki
ambao walikuwa wananivuta hata mimi kuwa achana na mambo ya bendi na
kuwa solo artist.”
0 comments:
Post a Comment